Wanawake MUNGU awasaidie sana Mjue kujenga Mahusiano binafsi ya karibu na MUNGU mwenyewe kuliko kutegemea sana kuombewa hovyo hovyo,Kisa tu Umeambiwa na Rafiki yako kwamba yuko Apostle flani ana Upako sana.
Saturday 24 January 2015
BABA NA MAMA DIAMOND WAKO HOI KITANDANI,WAFICHWA WASIONEKANE
Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali...
TUANZE NA MAMA DIAMOND..
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, mama Diamond hajiwezi kwa mwezi mmoja sasa akisumbuliwa na maradhi yenye kuashiria kupooza sehemu ya mwili na kushindwa kutembea. Anaugulia nyumbani kwake, Sinza ya Mori jijini Dar es Salaam.
YADAIWA KUWA SIRI
Habari zinadai kuwa, ugonjwa wa mama huyo umefanywa kuwa siri kwa watu wengine lakini bila kujulikana kisa cha usiri huo.
PENZI LA JACKLINE WOLPER NA NEY WA MITEGO,MAMBO HADHARANI,UKIBISHA UNA MATATIZO YAKO BINA
BAADA ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani..
WEMA SEPETU AATHIRIKA KWA KOPE BANDIKA,MWENYEWE AELEZA MAZITO
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimemua
MWANAMKE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA YA SH BILIONI 2.5 NYUMBANI KWA MBUNGE
MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5.
SIRI YA WANAWAKE WENYE MWANYA,NDEVU NA KIDOTI CHEUSI YAJULIKANA...
BANZA STONE YU MAHUTUTI MJINI TUNDUMA,WASAMARIA WEMA KUJITOLEA KUMRUDISHA DAR
Walikwenda mkoani Mbeya na bendi yao Rungwe Music Band (zamani Wana Extra), bendi ikasambaratikia huko kila mtu akarejea Dar na hamsini zake, Banza akaamua kwenda Tunduma na huko ndiko balaa lilipomkumba.
Pengine bado uko kizani. Ni kwamba mwanamuziki nyota wa dansi Ramadhani Masanja “Banza Stone” yuko mahututi mjini Tunduma na hana huduma yoyote ya kimatibabu.
Subscribe to:
Posts (Atom)