Monday 29 December 2014

100% ROSE MUHANDO ASUMBULIWA NA PEPO CHAFU LA UTAPELI...SAFARI HII AMTAPELI MDAU WAKE WA KARIBU SANA...


                             

Nyota wa muziki wa injili nchini, Rose Athuman Muhando.

LILE jinamizi la kupokea fedha kwa ajili ya kushiriki tamasha la kuimba nyimbo za Injili kisha kutotokea siku ya tukio linazidi kumwandama nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando, safari hii akidaiwa kumliza tena mtu, Ijumaa Wikienda lina kesi hiyo mkononi. 

HII NI DHARAU: RAIS OBAMA AFANANISHWA NA TUMBILI...

Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.

SIRI SIRINI,KUMBE DIAMOND HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAUZITO...MTAALAM WA TIBA YA UZAZI AFUNGUKA..



BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.

TIBAIJUKA ADAI SAKATA LA ESCROW LISHAZIKWA,KUGOMBEA TENA UBUNGE MWAKANI...


Siku chache  baada ya Rais Kikwete kumfuta kazi  Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi ,mbunge huyo amewaambia wapiga kura wake kwamba hawakumchagua kama waziri bali kama mwakilishi wao.

Sunday 28 December 2014

NDEGE YA AIRASIA YAPOTEA ANGANI IKIWA NA WATU ZAIDI YA 160


                         
(CNN) -- AirAsia Flight 8501 has lost contact with traffic control in Jakarta, Indonesia, the airline's crisis center said Sunday.
"We have no further information. A crisis center has been set up. We are seeking more information to provide," the center said.
====== 

DIAMOND NA ZARI WAHAMIA BURUNDI....






ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA YANGA ATAFUTWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU


    
JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limekuwa likiendelea kumsaka aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu.
Habari za kipolisi kutoka ndani ya Jeshi hilo zimeeleza kwamba juhudi za kumtia nguvuni Njovu anayetuhumiwa na ubadhilifu zimekuwa zikiendelea kwa juhudi kubwa.  

DUDE: MASTAA WENGI NCHINI WANAAMBUKIZANA NGOMA BILA WOGA

 
Mwigizaji na muongozaji wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana ngoma na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao.