Baada ya Miss South Africa anajulikana kwa jina la Rolene Strauss ambaye ndie mshindi wa taji la Miss World 2014, Aliyekuwa akiwakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo kupitia mtandao ya kijamii wa Instagram amefunguka baada ya kushindwa kunyakua taji hilo na hichi ndicho alichokiandika
Monday 15 December 2014
MATOKEO KAMILI MISS WORLD HAYA HAPA
GRAND MISS WORLD RESULTS
MISS TANZANIA AWA WA PILI ON MISS WORLD PEOPLE'S CHOICE AWARD
Hakika lile zoezi la uhamasishaji wa kumpigia kura mrembo wa kutoka Tanzania Happiness Watimanywa limezaa matunda mara baada ya kumuwezesha mrembo huyo kushika nafasi ya pili katika kipengele hicho cha kupigiwa kura......
Licha ya kushika nafasi hiyo,muwakilishi wetu huyo hakuweza kupata nafasi ya kuingia kwenye kumi bora ya mashindano hayo makubwa ya urembo duniani kwani mshindi wa kwanza ndie hupata nafasi ya kuingia 10 bora ama 11 bora kama ilivyokuwa kwa mwaka huu ambapo miss Thailand alipata nafasi hiyo baada ya kuibuka namba moja kwenye kipengele cha Miss World People's Choice...
LICHA YA SKENDO ZAKE...HUU NDIO UTAJIRI WA ZARI THE BOSS LADY
Maneno ya zari akifunguka na kuwaelezea mashabiki wake jinsi ya utendaji kazi wake, wa nguvu na namna ulivyompa mafanikio, na hii ndio kauli ya zarithebosslady in other business news….
When you hustle hard daily, & stay focused on your vision motivation will never be an issue.
Check out my jewellery store at garden city shopping mall for wedding, engagement rings and all your other fashion jewellery….
Sunday 14 December 2014
HABARI KUTOKA MISS WORLD: KUMBE WATANZANIA TUKIAMUA TUNAWEZA MPAKA SASA WATIMANYWA YUKO NAFASI YA PILI
Watanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri kupitia ukurasa wake wa Instagram.Happiness kaandika hivi; “Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa
MSANII BONGO MUVI ATAKA KUJIUA KISA YANGA KUCHAPWA NA SIMBA.....
Baada ya Simba kumshushia kipigo kikali Yanga cha mabao mawili kwa sifuri, nakuibuka mtani jembe. Muigizaji na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga, Mchopanga inasemekana alitaka kumeza madawa baada ya kuchapa kilaji.
Saturday 13 December 2014
ROSE MUHANDO APEWA MIMBA NA MCHEZA SHOO WAKE...
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani....
Subscribe to:
Posts (Atom)