Saturday 6 December 2014

AUNT EZEKIEL AWAZODOA WANAOSEMA ANA MIMBA


DUNIANI WAWILI WAWILI..MCHEKI HUYU ANAYEFANANA NA WEMA SEPETU



 


QUICK ROCKA AKANUSHA KUTOKA NA KAJALA


 

JINSI UKIMWI ULIVYOANZA AFRIKA


Ulianzia Jamhuri ya Demkorasia ya Congo (DRC) na vitendo vya ngono kwenye vituo na safari za treni mjini Kinshasa vilichochea ugonjwa huo kuanza kuenea kwa kasi hadi nje ya mipaka ya nchi hiyo.

JELA KWELI KUBAYA...KENYATTA AFURAHIA KUACHIWA HURU


RAIS Uhuru Kenyatta ameelezea kufurahishwa na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), kutupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili, baada ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Fatou Bensouda kuondoa mashitaka dhidi ya Rais huyo.

WAANDISHI WAZUILIWA NA MAHAKAMA KUU KUSIKILIZA KESI YA IPTL


 

MMAREKANI MWEUSI MWINGINE APIGWA RISASI..


Mmarekani mwingine mweusi ambaye hakuwa na silaha ya aina yoyote ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mzungu huku maelfu ya Wamarekani wakiendelea kufanya maandamano kupinga mauaji ya kibaguzi yanayowalenga Wamarekani wenye asili ya Afrika. 

HAYATI MZEE MANDELA ATIMIZA MWAKA MMOJA