Saturday 29 November 2014

HATIMAYE RAIS KIKWETE ATAJWA KUHUSIKA SAKATA LA ESCROW...SOMA UHUSIKA WAKE HAPA CHINI


HUYU NDIE VIDEO MODO MWENYE HIPS KUBWA KULIKO MAVIDEO MODO WOOOOOOOTE HAPA AFRIKA...



MAASKOFU WAKIRI KUPOKEA FEDHA ZA ESCROW....


               Baba askofu Methodius Kilaini.

 Askofu 
Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amekiri kupokea Sh80.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engeering, James Rugemalira akisema si mara yake kwa kwanza kupokea fedha kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwa kuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamii. 

MJADALA MZIMA WA SAKATA LA ESCROW NA MAAZIMIO YALIYOFIKIWA KATIKA VIKAO VYA JANA MCHANA NA JIONI..


MJADALA

Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO(Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti(ananukuu maandiko ya biblia kuhusu kuheshimu mamlaka), anasema kila mtu atawajibika kwa namna yake.

Friday 28 November 2014

MH.KANGI LUGOLA AVAA KININJA BUNGENI ILI ASIWATAZAME WAHUSIKA WA SAKATA LA ESCROW

HUYU NDIO DEMU MREMBO KULIKO WOOOOOOOTE DUNIANI KWA WAKATI HUU.......CHEKI MAFOTO YAKE


                                    Mwanamke Mzuri Kuliko Wote Duniani Kwa Mwaka 2013

Huyu sio mwingine bali ni Malkia wa Saudi Arabian, aitwae Fatima Zohar-Godabari.

Fathima Kulsum Zohar Godabari ambaye awali alikuwa kwenye familia ya kifalme kwa sasa yeye ndie Malkia wa Saudi Arabia.
Hivi karibuni alipigwa picha bila kuwa amevaa niqab ikiwa imefunika uso wake, na picha hizo kuchapishwa kisha kusambazwa kwenye mitandao, zikionyesha uzuri wa sura yake duniani ikiwa ni mara ya kwanza.

Toka picha hizo zitoke, watu wengi wamekuwa wakimtaja kuwa ndiye mwanamke mzuri duniani kwa sasa.
Cheki picha zake hizi hapa chini lazima utakubali.......

DIAMOND NA ZALI WAUMBUKAAAAAAA.....


Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan wakibusiana kimahaba.
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka.

MAGAZETI YA KIBONGO YA LEO