Friday, 21 November 2014
MLINZI AGEUKA KUWA NESI KIGOMA
›
KITUO cha Afya Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa watumishi hali iliyofanya mlinzi wa usiku katika k...
FUATILIA JINSI SAKATA LA TEGETA ESCROW ACCOUNT LILIVYOTIKISA BUNGE JANA
›
WABUNGE jana waliungana bila kujali vyama vyao, kutetea kuwasilishwa bungeni na kujadiliwa kwa ripoti ya sakata la uchotaji fedha katika ak...
WAZAZI MISS TANZANIA WADAI CHAO MAPEMAAAAAA
›
Wazazi wa Miss Tanzania mpya, Lilian Kamazima wameitaka Kamati ya Miss Tanzania iwape maelezo ya uhakika kuhusu zawadi na taji la binti ya...
PUTIN: MAREKANI NA WAPAMBE WAKE WAMECHEMKA
›
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa juhudi za Marekani za kutaka kuipigisha magoti nchi yake zimegonga mwamba. Rais Putin amesema ku...
UN YATAKA MFĂ€NYAKAZI WAKE KUACHIWA HURU
›
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuachiwa huru mfanyakazi wake aliyetekwa nyara na kupelekwa kusikojulikana nchini Sudan Kusini. Shirika la...
BOKO HARAM YAUA 45 NIGERIA
›
Shambulizi linalodhaniwa kuwa la wapiganaji wa kundi la kitakfiri la Boko Haram limeua watu wasiopungua 45 huko kaskazini mashariki mwa Nig...
HALI MBAYA YA KIBINADAM YANUKIA LIBYA
›
Kamisheni ya taifa ya kutetea haki za binadamu nchini Libya imetahadharisha juu ya uwezekano wa kuzuka hali mbaya ya kibinadamu katika nchi...
WAASI WA KUSINI MWA SUDAN WATAKA KUJITAWALA
›
Waasi wa Sudan wanataka majimbo mawili yaliyogubikwa na machafuko huko kusini mwa nchi hiyo ya Kordofan Kusini na Blue Nile yapewe mamlaka y...
‹
›
Home
View web version